Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 5:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Kwa maana sisi tulio katika maskani hii twaugua, tukilemewa; si kwamba twataka kuvuliwa, hali kuvikwa vazi jingine, illi kitu kile kipatwacho na mauti kimezwe na uzima.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Tukiwa bado katika hema hii ya duniani, tunalia kwa kukandamizwa; si kwamba tunataka kuuvua mwili huu wa kufa, ila tuna hamu ya kuvalishwa ule usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa na uhai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Tukiwa bado katika hema hii ya duniani, tunalia kwa kukandamizwa; si kwamba tunataka kuuvua mwili huu wa kufa, ila tuna hamu ya kuvalishwa ule usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa na uhai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Tukiwa bado katika hema hii ya duniani, tunalia kwa kukandamizwa; si kwamba tunataka kuuvua mwili huu wa kufa, ila tuna hamu ya kuvalishwa ule usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa na uhai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kwa kuwa tukiwa bado katika hema hili twalia kwa uchungu na kulemewa, kwa sababu hatutaki kuvuliwa bali kuvikwa makao yetu ya mbinguni ili kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kwa kuwa tukiwa bado katika hema hii twalia kwa uchungu na kulemewa, kwa sababu hatutaki kuvuliwa bali kuvikwa makao yetu ya mbinguni ili kwamba kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 5:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wala si hivyo tu, illa na sisi wenyewe tulio na malimbuko ya Roho tunaugua katika nafsi zetu, tukitazamia kufanywa wana, ukombozi wa mwili wetu.

Angalieni, nawaambieni siri; hatutalala wote, lakini wote tutabadilika,

Maana na sisi katika hii twaugua, tukitamani sana kuvikwa vazi jingine, yaani kao letu litokalo mbinguni;

ikiwa tukiisha kuvikwa hatutaonekana tu uchi.

Nami naona ni haki, maadam nipo mimi katika maskani hii, kuwaamsheni kwa kuwakumhusheni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo