Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 5:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Maana na sisi katika hii twaugua, tukitamani sana kuvikwa vazi jingine, yaani kao letu litokalo mbinguni;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Na sasa, katika hali hii, tunaugua tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Na sasa, katika hali hii, tunaugua tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Na sasa, katika hali hii, tunaugua tukitazamia kwa hamu kubwa kuvikwa makao yetu yaliyo mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Katika hema hili twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 5:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wangu mimi bin Adamu! nani atakaeniokoa na mwili huu wenye kunifisha.


Wala si hivyo tu, illa na sisi wenyewe tulio na malimbuko ya Roho tunaugua katika nafsi zetu, tukitazamia kufanywa wana, ukombozi wa mwili wetu.


Angalieni, nawaambieni siri; hatutalala wote, lakini wote tutabadilika,


Ninasongwa kati kati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo; maana ni vizuri zaidi;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo