Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 5:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Hatta imekuwa, sisi tangu sasa hatumjui mtu awae yote kwa jinsi ya mwili. Ingawa sisi tumemjua Kristo kwa jinsi ya mwili, sasa lakini hatumjui hivi tena.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Hivyo tangu sasa hatumwangalii mtu yeyote kwa mtazamo wa kibinadamu. Ingawa wakati fulani tulimwangalia Al-Masihi kwa namna ya kibinadamu, hatumwangalii tena hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Hivyo tangu sasa hatumwangalii mtu yeyote kwa mtazamo wa kibinadamu. Ingawa wakati fulani tulimwangalia Al-Masihi kwa namna ya kibinadamu, hatumwangalii tena hivyo.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 5:16
19 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.

Ninyi m rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo.

Yesu akamwambia, Bibi, ina nini mimi nawe? Saa yangu haijawadia.

Roho ndiyo itiayo uzima; mwili haufai kitu; maneno ninayowaambieni ni roho, tena ni uzima.

Ninyi mwahukumu kwa jinsi ya kiwiliwili; mimi simhukumu mtu.

Iwapo wengi wanajisifu kwa jinsi ya mwili mimi nami nitajisifu.

Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno wala kutokutahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.

Mtu ye yote akijiona anayo sababu ya kuutumainia mwili, mimi zaidi.

Hapo hapana Myunani wala Myahudi, kutahiriwa wala kutokutahiriwa, mshenzi wala Mskuthi, mtumwa wala mungwana, bali Kristo ni yote, na katika wote.

Lakini hekima itokayo juu, kwanza ni safi, tena ni ya amani, ya upole,, tayari kusikiliza maneno ya watu, imejaa rehema na matunda mema, haina fitina wala unafiki;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo