Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 4:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Pande zote twasongwa, bali hatudhiikiki; twaona mashaka, hali hatukati tamaa; twaudhiwa, hali hatuachwi;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Daima twapata taabu, lakini hatugandamizwi; twapata mashaka, lakini hatukati tamaa;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Twataabika kila upande lakini hatuangamizwi; twaona wasiwasi lakini hatukati tamaa;

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 4:8
26 Marejeleo ya Msalaba  

Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.


Jaribu halikuwapata ninyi, illa ya kadiri ya kibinadamu; na Mungu yu amini; hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, illi mweze kustahimili.


Kwa hiyo napendezwa na udhaifu, na maumivu, na dhiiki, na adha, na shidda, kwa ajili ya Kristo. Maana niwapo dhaifu ndipo nilipo ua nguvu.


Hamsongwi ndani yetu, bali mwasongwa katika mioyo yenu.


bali katika killa neno tukijipatia sifa njema, kama wakhudumu wa Mungu, katika saburi nyingi, kalika mateso, katika shidda, katika taabu,


Kwa maana hatta tulipokuwa tumelikia Makedonia miili yetu haikupata nafuu; bali tuliteswa kote kote; nje palikuwa na vita, ndani khofu.


Naam, ningependa kuwa pamoja nanyi sasa, na kuigeuza santi yangu; maana nawaonea maashaka.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo