Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Lakini kwa kuwa tuna roho ile ile ya imani, kama ilivyoandikwa. Naliamini, na kwa sababu hiyo nalinena; sisi nasi twaamini, na kwa sababu hiyo twanena;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Maandiko Matakatifu yasema: “Niliamini, ndiyo maana nilinena.” Nasi pia, tukiwa na moyo huohuo wa imani, tunaamini, na kwa sababu hiyo twanena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Maandiko Matakatifu yasema: “Niliamini, ndiyo maana nilinena.” Nasi pia, tukiwa na moyo huohuo wa imani, tunaamini, na kwa sababu hiyo twanena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Maandiko Matakatifu yasema: “Niliamini, ndiyo maana nilinena.” Nasi pia, tukiwa na moyo huohuo wa imani, tunaamini, na kwa sababu hiyo twanena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Imeandikwa, “Niliamini, kwa hiyo nimesema.” Kwa roho yule yule wa imani pia tuliamini na hivyo tunasema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Imeandikwa, “Niliamini, kwa hiyo nimesema.” Kwa roho yule yule wa imani pia tuliamini na hivyo tunasema,

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 4:13
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bali twaamini kwamba kwa neema ya Bwana Yesu tutaokoka kama wao.

yaani, tufarijiane mimi na ninyi, killa mtu kwa imani ya mwenzake, yenu na yangu.

mwingine imani katika Roho yule yule; na mwingine karama za kuponya katika Roho yule mmoja;

Bassi, kwa kuwa tuna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi;

Bassi hapo mauti hufanya kazi yake ndani yetu, hali nzima ndani yenu.

SIMON PETRO, mtumwa na mtume wa Yesu m Kristo, kwao waiiopata imani moja na sisi, yenye thamani, katika haki ya Mungu wetu, na Mwokozi wetu Yesu Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo