Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 4:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Maana sisi tulio hayi siku zote twatolewa tufe kwa ajili ya Yesu, illi uzima wa Yesu udhihirishwe katika miili yetu ipatwayo na manti.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Naam, muda tuishipo tunakabiliwa na kifo daima kwa ajili ya Yesu, ili uhai wake Yesu udhihirike katika miili yetu inayokufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Naam, muda tuishipo tunakabiliwa na kifo daima kwa ajili ya Yesu, ili uhai wake Yesu udhihirike katika miili yetu inayokufa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Naam, muda tuishipo tunakabiliwa na kifo daima kwa ajili ya Yesu, ili uhai wake Yesu udhihirike katika miili yetu inayokufa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Isa, ili uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa maana sisi tulio hai siku zote tumetolewa tufe kwa ajili ya Isa, ili kwamba uzima wake upate kudhihirishwa katika mwili wetu upatikanao na mauti.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 4:11
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Yesu ataihuisha na miili yemi iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho yake anayekaa ndani yenu.


Kama ilivyoandikwa, ya kama, Kwa ajili yako tunauawa mchana kuchwa, Tumehesabiwa kuwa kama kondoo wa kuchinjwa.


Naam, kwa huku kujisifu kwangu niliko nako juu yenu katika Kristo Yesu Bwana wetu, ninakufa killa siku.


Na kama tulivyoichukua sura yake wa udongo, kadhalika tulaichukua sura yake wa mbinguni.


siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, illi uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.


Bassi hapo mauti hufanya kazi yake ndani yetu, hali nzima ndani yenu.


Kwa maana sisi tulio katika maskani hii twaugua, tukilemewa; si kwamba twataka kuvuliwa, hali kuvikwa vazi jingine, illi kitu kile kipatwacho na mauti kimezwe na uzima.


kama wasiojulika, bali wajulikao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hayi; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo