Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 3:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Bassi Bwana ndiye Roho huyo; walakini alipo Roho ya Bwana, hapo ndipo panapo uhuru.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Hapa “Bwana” ni Roho; na pale alipo Roho wa Bwana ndipo ulipo uhuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Basi Bwana Isa ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi, hapo pana uhuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Basi Bwana Isa ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Mwenyezi Mungu, hapo pana uhuru.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 3:17
13 Marejeleo ya Msalaba  

Roho ndiyo itiayo uzima; mwili haufai kitu; maneno ninayowaambieni ni roho, tena ni uzima.


tena mtaifahamu kweli, nayo kweli itawaweka huru.


Kwa sababu sharia ya Roho ya uzima ule ulio katika Yesu Kristo imeniacha huru, nikawa mbali ya sharia ya dhambi na mauti.


Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza Adamu alikuwa nafsi hayi; Adamu wa mwisho roho yenye kuhuisha.


Lakini sisi sote, kwa uso usiotiwa utaji, tukiuangalia utukufu wa Bwana, kama vile katika kioo, tunabadilishwa na kufananishwa na mfano huo huo, toka utukufu hatta utukufu, kama vile kwa utukufu utokao kwa Bwana aliye Roho.


aliyetutosheleza kuwa wakhudumu wa agano jipya; si wa andiko, bali wa roho; kwa maana andiko huua, bali roho huhuisha.


Na kwa kuwa ninyi ni wana, Mungu alimtuma Roho ya Mwana wake mioyoni mwenu, aliaye, Abba, Baba.


KRISTO alitufanya huru kwa uhuru; bassi, simameni, msinaswe tena kwa kifungo cha utumwa.


Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali khudumianeni kwa upendo.


Maana Mungu hakutupa roho ya khofu, bali ya nguvu na ya upendo ua ya moyo wa kiasi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo