2 Wakorintho 3:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Lakini wakati wo wote itakapomgeukia Bwana ule utaji huondolewa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini, wakati mtu amgeukiapo Bwana, kifuniko hicho huondolewa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana Mungu Mwenyezi, utaji unaondolewa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini wakati wowote mtu anapomgeukia Bwana Isa, utaji unaondolewa. Tazama sura |