Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 3:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 bali hatta leo, Musa asomwapo, utaji huikalia mioyo yao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Naam, mpaka hivi leo kila isomwapo sheria akili zao huwa zimefunikwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Hata leo Torati ya Musa inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Hata leo Torati ya Musa inaposomwa, utaji hufunika mioyo yao.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 3:15
4 Marejeleo ya Msalaba  

pamoja na hayo fikara zao zilitiwa ugumu; kwa maana hatta leo utaji huo huo, wakati lisomwapo Agano la Kale, wakaa, haukuondolewa; ambao buoudolewa katika Kristo;

Lakini wakati wo wote itakapomgeukia Bwana ule utaji huondolewa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo