Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 3:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 nasi si kama Musa alivyotia utaji juu ya uso wake, illi wana wa Israeli wasitazame sana mwisho wa ile iliyokuwa ikibatilika;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Sisi hatufanyi kama Mose ambaye alilazimika kuufunika uso wake kwa kitambaa ili watu wa Israeli wasiuone ule mwisho wa mngao ule uliokuwa unafifia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Sisi hatufanyi kama Mose ambaye alilazimika kuufunika uso wake kwa kitambaa ili watu wa Israeli wasiuone ule mwisho wa mngao ule uliokuwa unafifia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Sisi hatufanyi kama Mose ambaye alilazimika kuufunika uso wake kwa kitambaa ili watu wa Israeli wasiuone ule mwisho wa mng'ao ule uliokuwa unafifia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Sisi si kama Musa, ambaye ilimpasa kuweka utaji wa kufunika uso wake ili Waisraeli wasiuone ule mng’ao uliokuwa juu yake hadi ulipofifia na hatimaye kutoweka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Sisi si kama Musa, ambaye ilimpasa kuweka utaji ili kufunika uso wake ili Waisraeli wasiuone ule mng’ao uliokuwa juu yake hadi ulipofifia na hatimaye kutoweka.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 3:13
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akaweka mkono wake juu yake marra ya pili machoni mwake, akamwagiza atazame juu; akapata kuwa mzima, akaona wote waziwazi, wajapokuwa mbali.


Kwa maana Kristo ni mwisho wa sharia, illi killa aaminiye apate haki.


Bassi, ikiwa khuduma ya mauti katika maandiko, iliyochorwa katika mawe, ilikuja katika utukufu, hatta wana wa Israeli hawakuweza kuukazia macho uso wa Musa, kwa sababu ya utukufu wa uso wake; nao utukufu uliokuwa ukibatilika;


mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo