Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 3:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa maana, ikiwa ile inayobatilika ilikuwa na utukufu ukomao, zaidi sana ile ikaayo ina utukufu udumuo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Maana ikiwa kile kilichokuwa cha muda tu kilikuwa na utukufu wake, bila shaka kile chenye kudumu milele kitakuwa na utukufu mkuu zaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Maana ikiwa kile kilichokuwa cha muda tu kilikuwa na utukufu wake, bila shaka kile chenye kudumu milele kitakuwa na utukufu mkuu zaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Maana ikiwa kile kilichokuwa cha muda tu kilikuwa na utukufu wake, bila shaka kile chenye kudumu milele kitakuwa na utukufu mkuu zaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ikiwa kile kilichokuwa kinafifia kilikuja kwa utukufu, je, si zaidi utukufu wa kile kinachodumu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ikiwa kile kilichokuwa kinafifia kilikuja kwa utukufu, je, si zaidi utukufu wa kile kinachodumu?

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 3:11
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana hatta ile iliyotukuzwa haikuwa na utukufu kwa sababu hii, kwa ajili ya utukufu uzidio sana.

Bassi, kwa kuwa tuna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi;

KWA sababu hiyo, kwa kuwa tuna khuduma hii, kwa jinsi tulivyorehemiwa, hatulegei;

Kwa kule kusema, Agano jipya, amelifanya lile la kwanza kuwa kukuu. Lakini kitu kianzacho kuwa kikukuu na kuchakaa ni karibu na kutoweka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo