Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 2:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Kwa hiyo nawasihi kumthubutishia upendo wenu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kwa hiyo nawasihi: Mwonesheni kwamba mnampenda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kwa hiyo nawasihi: mwonesheni kwamba mnampenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa hiyo, nawasihi mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa hiyo, nawasihi, mpate kuuthibitisha tena upendo wenu kwa ajili yake.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 2:8
6 Marejeleo ya Msalaba  

hatta, kiuyume cha hiyo, ni afadhali mmsamehe na kumfariji, mtu kama huyu asije akatoswa katika huzuni ipitayo kiasi.


Maana naliandika kwa sababu hii pia, illi nipate bayana kwenu kwamba m wenye kutii katika mambo yote.


Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali khudumianeni kwa upendo.


Tuwapo na nafasi na tuwatendee watu wote mema; khassa watu walio wa nyumba ya imani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo