Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 2:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 hatta, kiuyume cha hiyo, ni afadhali mmsamehe na kumfariji, mtu kama huyu asije akatoswa katika huzuni ipitayo kiasi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili asije akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili asije akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili asije akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Basi sasa badala yake, inawapasa kumsamehe na kumfariji, ili asigubikwe na huzuni kupita kiasi.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 2:7
20 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, uharibifu huu utakapovaa kutokuharibika, na huu wa kufa utakapovaa kutokufa, hapo ndipo litakapokuwa lile neno lililoandikwa, Mauti imemezwa kwa kushinda.


Kwa hiyo nawasihi kumthubutishia upendo wenu.


Kwa maana sisi tulio katika maskani hii twaugua, tukilemewa; si kwamba twataka kuvuliwa, hali kuvikwa vazi jingine, illi kitu kile kipatwacho na mauti kimezwe na uzima.


Maana huzuni iliyo mbele za Mungu hufanyiza toba iletayo wokofu isiyo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanyiza mauti.


tena mwe wafadhili ninyi kwa ninyi, wenye huruma, mkiachiliana, kama na Mungu katika Kristo alivyowaachilia ninyi.


Kwa maanu alikuwa hawezi kweli kweli, karibu na kufa; lakini Mungu alimhurumia; wala si yeye peke yake, illa na mimi pia: nisiwe na huzuni juu ya huzuni.


mkichukuliana, na kuachiliana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mtu; jinsi Kristo alivyowaachilieni, vivyo hivyo na ninyi.


Lakini, ndugu, hatutaki msijue khabari zao waliolala, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.


Twawaagizeni, ndugu, katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na killa ndugu aendae bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo