Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 2:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Maana mimi nikiwatia huzuni, hassi ni nani anifurahishae illa yeye ahuzunishwae nami?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Maana nikiwahuzunisha nyinyi, basi, ni nani atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Maana nikiwahuzunisha nyinyi, basi, ni nani atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Maana nikiwahuzunisha nyinyi, basi, ni nani atakayenifariji? Ni walewale niliowahuzunisha!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Kwa kuwa nikiwahuzunisha ninyi, ni nani aliyebaki wa kunifurahisha isipokuwa ninyi ambao nimewahuzunisha?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Kwa kuwa kama nikiwahuzunisha ninyi, ni nani aliyebaki wa kunifurahisha isipokuwa ninyi ambao nimewahuzunisha?

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 2:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yule kijana alipolisikia neno lile, akaenda zake kwa huzuni; kwa sababu alikuwa na mali mengi.


Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao.


Na kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote huumia navyo, na kiungo kimoja kikitukuzwa, viungo vyote hufurahi pamoja.


vile vile kama mlivyotukiri kwa sehemu, ya kwamba sisi tu sababu ya kujisifu kwenu, kama ninyi mlivyo kwetu sisi, katika siku ile ya Bwana Yesu.


Nani aliye dhaifu, nisiwe dhaifu na mimi? Nani aliyechukizwa na mimi nisiwake?


Maana ijapokuwa naliwahuzunisha kwa waraka ule sijuti, ijapokuwa nalijuta; maana naona ya kwamba waraka ule nliwahuzunisha, ijapokuwa ni kwa kitambo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo