Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 2:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 LAKINI nafsini mwangu nalikusudia hivi, nisije kwenu tena kwa huzuni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Basi, nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Basi, nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Basi, nimeamua nisiwatembelee tena kuwatia huzuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Hivyo nilikusudia moyoni mwangu nisifanye ziara nyingine yenye kuwaumiza ninyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Hivyo nilikusudia moyoni mwangu nisifanye ziara nyingine yenye kuwaumiza ninyi.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 2:1
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na wale wanafunzi, killa mtu kwa kadiri alivyofanikiwa wakaazimu kupeleka msaada kwa ndugu zao waliokaa Yahudi.


Bassi baada ya Paolo na Barnaba kushindana na watu hawa na kuhujiana nao sana, ndugu wakaamuru kwamba Paolo na Barnaba na wengine miongoni mwao wapande kwenda Yerusalemi kwa mitume na wazee kwa khabari ya swali hilo.


Barnaba akaazimu kumchukua Yohana aliyekwitwa Marko pamoja nao.


Maana naliazimu nisijue neno kwenu illa Yesu Kristo, nae amesulibiwa.


Mnataka nini? Nije kwenu na fimbo, au katika upendo na roho ya upole?


Kwa maana mimi kweli, nisipokuwapo kwa mwili, lakini nikiwapo kwa roho, nimekwisha kumhukumu yeye aliyetenda jambo hilo, kana kwamba nikiwapo.


Lakini mimi namwitia Mungu awe shahidi juu ya roho yangu, ya kwamba, kwa kuwahurumia sijaenda Korintho.


Kwa biyo, naandika liayo nisipokuwapo, illi, nikiwapo, nisitumie ukali kwa kadiri ya uwezo ule niliopewa na Bwana illi kujenga wala si kubomoa.


Maana katika shidda nyingi na dhiiki ya moyo niliwaandikieni nikitoka machozi mengi; si kwamba mhuzunishwe, bali mpate kujua upendo wangu nilio nao kwenu jinsi ulivyo mwingi.


Nitakapomtuma Artema kwako an Tukiko, jitahidi kuja kwangu hatta Nikopoli; maana huku nimekusudia kukaa wakati wa baridi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo