Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 13:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 kwa kuwa mnatafuta dalili ya Kristo, asemae ndani yangu, ambae si dhaifu kwenu, bali ana uweza ndani yenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mtajionea wenyewe kwamba Kristo anasema ndani yangu. Kwenu Kristo si dhaifu; bali nguvu yake yafanya kazi miongoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mtajionea wenyewe kwamba Kristo anasema ndani yangu. Kwenu Kristo si dhaifu; bali nguvu yake yafanya kazi miongoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mtajionea wenyewe kwamba Kristo anasema ndani yangu. Kwenu Kristo si dhaifu; bali nguvu yake yafanya kazi miongoni mwenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 kwa kuwa mnadai uthibitisho kwamba Al-Masihi anazungumza kwa kunitumia mimi. Yeye si dhaifu katika kushughulika nanyi, bali ana nguvu kati yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 kwa kuwa mnadai uthibitisho kwamba Al-Masihi anazungumza kwa kunitumia mimi. Yeye si dhaifu katika kushughulika nanyi, bali ana nguvu kati yenu.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 13:3
14 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa si ninyi msemao, bali Roho ya Baba yenu asemae ndani yenu.

Kwa maana mimi nitawapeni kinywa na hekima, ambayo watesi wenu hawataweza kuikana wala kushindana nayo.

Lakini yu kheri zaidi akikaa kama alivyo; ndivyo nionavyo mimi; nami nadhani ya kuwa mimi nami nina Roho ya Bwana.

NAMI Paolo, nawasihi kwa upole na utaratibu wa Kristo, mimi niliye mnyenyekevu niwapo pamoja nanyi, bali nisipokuwapo mwenye ujasiri kwenu;

maana silaha za vita yetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu kuangusha ngome;

Maana ishara za mtume zilitendwa kati yenu katika uvumilivu wote, kwa ishara na maajabu na nguvu.

Maana kama mkimsamehe mtu lo lote, na mimi; kwa maana mimi nami, ikiwa nimemsamehe mtu neno lo lote, nimemsamehe kwa ajili yenu mbele ya Kristo,

Yamtosha mtu wa jinsi hii adhabu ile aliyopewa na walio wengi;

Na Mungu aweza kuwajaza killa neema kwa wingi, illl ninyi, mkiwa na riziki za killa namna siku zote, mpate kuzidi sana katika killa tendo jema;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo