Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 13:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 HII ndio marra ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno litathubutishwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. “Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. “Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Hii ni mara yangu ya tatu kuja kwenu. “Kila tatizo litatatuliwa kwa ushahidi wa watu wawili au watatu,” yasema Maandiko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Hii itakuwa mara ya tatu mimi kuja kwenu. “Shtaka lolote lazima lithibitishwe na mashahidi wawili au watatu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Hii ndiyo mara ya tatu mimi kuja kwenu. “Shtaka lolote lazima lithibitishwe na mashahidi wawili au watatu.”

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 13:1
11 Marejeleo ya Msalaba  

La, hakusikia, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, illi kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno lithubutike.

Tazama hii ni marra ya tatu ya mimi kuwa tayari kuja kwenu, wala sitawidemea. Maana sitafuti vitu vyenu, bali ninyi: maana haiwapasi watoto kuwawekea akiba wazazi, bali wazazi watoto.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo