2 Wakorintho 12:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Kwa ajili ya kitu hiki nalimsihi Bwaua marra tatu kinitoke. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nilimsihi Bwana mara tatu kuhusu jambo hili ili linitoke. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa habari ya jambo hili, nilimsihi Mwenyezi Mungu mara tatu aniondolee mwiba huu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana Isa mara tatu aniondolee mwiba huu. Tazama sura |