Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 12:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Kwa khabari za mtu huyo nitajisifu; lakini kwa ajili ya nafsi yangu sitajisifu, isipokuwa katika khabari ya udhaifu wangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa tu juu ya udhaifu wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa tu juu ya udhaifu wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, nitajivunia juu ya mtu wa namna hiyo, na si juu yangu mimi binafsi, isipokuwa tu juu ya udhaifu wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Nitajisifu kwa ajili ya mtu kama huyo, lakini sitajisifu mwenyewe, ila nitajisifia udhaifu wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Nitajisifu kwa ajili ya mtu kama huyo, lakini sitajisifu kuhusu mimi mwenyewe ila mimi nitajisifia udhaifu wangu.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 12:5
5 Marejeleo ya Msalaba  

illi litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe alitwaa magonjwa yetu, na kuchukua maradhi zetu.


Nami nalikuwako kwenu katika hali ya udhaifu na khofu na matetemeko mengi.


Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu.


SINA buddi kujisifu, ijapokuwa haipendezi; lakini nitafikilia njozi na mafunuo ya Bwana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo