2 Wakorintho 12:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Nalimwonya Tito, nikamtuma yule ndugu pamoja nae. Je! Tito aliwatoza kitu? Hatukuenenda kwa Roho yeye yule na katika nyayo zile zile? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Mimi nilimwita Tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. Je, Tito aliwanyonyeni? Je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Mimi nilimwita Tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. Je, Tito aliwanyonyeni? Je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Mimi nilimwita Tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. Je, Tito aliwanyonyeni? Je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nilimshawishi Tito aje kwenu, nami nilimtuma pamoja na ndugu yetu. Je, Tito aliwatumia ninyi ili kujipatia faida? Je, hatukuenenda kwa roho moja, na kwa hatua zile zile? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nilimshawishi Tito aje kwenu, nami nilimtuma pamoja na ndugu yetu. Je, Tito aliwatumia ninyi ili kujipatia faida? Je, hatuenendi kwa roho moja, na hatuchukui hatua zile zile? Tazama sura |