Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 12:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Maana ishara za mtume zilitendwa kati yenu katika uvumilivu wote, kwa ishara na maajabu na nguvu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Miujiza na maajabu yaoneshayo wazi kwamba mimi ni mtume yalifanyika miongoni mwenu kwa uvumilivu wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Miujiza na maajabu yaoneshayo wazi kwamba mimi ni mtume yalifanyika miongoni mwenu kwa uvumilivu wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Miujiza na maajabu yaoneshayo wazi kwamba mimi ni mtume yalifanyika miongoni mwenu kwa uvumilivu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mambo yanayomtambulisha mtume wa kweli, yaani ishara, miujiza na maajabu, yalifanywa miongoni mwenu kwa saburi nyingi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Mambo yanayomtambulisha mtume wa kweli, yaani, ishara, miujiza na maajabu, yalifanywa miongoni mwenu kwa saburi nyingi.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 12:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Yesu akamwambia, Msipoona ishara na maajabu hamtaamini kabisa.


Namshukuru Mungu wangu, nanena kwa lugha zaidi ya ninyi nyote;


Maana yeye ajae akikhubiri Yesu mwingine ambae sisi hatukumkhubiri, au mkipokea Roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumilia nae.


Lakini nijapokuwa mimi ni mtu asiojua kunena, illakini hii si hali yangu katika ilmu; lakini katika killa neno tumedhihirishwa kwenu.


lakini tumekataa mambo ya aibu yaliyosetirika, wala hatuenendi kwa ujanja, wala kulichanganya neno la Mungu na uwongo; hali kwa kuidhihirisha iliyo kweli twajionyesha kuwa na haki, dhamiri za watu zikitushuhudia mhele za Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo