Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 11:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Naliwanyangʼanya makanisa mengine mali yao, nikitwaa posho langu niwakhudumie ninyi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. Kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia nyinyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. Kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia nyinyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. Kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia nyinyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Niliyanyang’anya makundi mengine ya waumini kwa kupokea misaada kutoka kwao ili niweze kuwahudumia ninyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Niliyanyang’anya makundi mengine ya waumini kwa kupokea misaada kutoka kwao ili niweze kuwahudumia ninyi.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 11:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

tena twataabika tukifanya kazi kwa mikono yetu wenyewe. Tukitukanwa twabariki, tukiudhiwa twavumilia;

Au je! ni mimi peke yangu na Barnaba tusio na uwezo kutokufanya kazi?

Nami nilipokuwa pamoja nanyi na kuhitaji sikumlemea mtu. Maana ndugu walipokuja kutoka Makedonia walinipa kadiri ya mahitaji yangu; na katika mambo yote nalijilinda nafsi yangu nisiwalemee hatta kidogo; tena nitajilinda.

Lakini ninavyo vitu vyote na kuzidi; tena nimejaa tele, nimepokea kwa mkono ya Epafrodito vitu vile vilivyotoka kwenu, harufu ya manukato, sadaka yenye kibali, impendezayo Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo