Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 11:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 nikashushwa ndani ya kapu, katika dirisha la ukutani, nikaokoka na mikono yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Lakini, ndani ya kapu kubwa, niliteremshwa nje kupitia katika nafasi ukutani, nikachopoka mikononi mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Lakini niliteremshwa kwa kapu kubwa kupitia dirisha ukutani, nikaokolewa kutoka mkononi mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Lakini nilishushwa kwa kapu kubwa kupitia katika dirisha ukutani, nikatoroka kutoka mikononi mwake.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 11:33
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wakamtwaa usiku wakamshusha ukutani, wakimtelemsha katika kapu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo