2 Wakorintho 11:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Ikinibidi kujisifu, nitajisifia mambo ya udhaifu wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Ikinilazimu kujivuna, basi, nitajivunia udhaifu wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kama ni lazima nijisifu, basi nitajisifia yale mambo yanayoonesha udhaifu wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kama ni lazima nijisifu, basi nitajisifia yale mambo yanayoonyesha udhaifu wangu. Tazama sura |