Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 11:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 kwa kazi na kusumbuka; kwa kukesha marra nyingi; kwa njaa na kiu; kwa kufunga marra nyingi; kwa baridi na kuwa uchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Nimefanya kazi na kutaabika, nimekesha bila usingizi mara nyingi; nimekuwa na njaa na kiu; mara nyingi nimefunga na kukaa katika baridi bila nguo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Nimekuwa katika kazi ngumu na taabu, katika kukesha mara nyingi; nimejua kukaa njaa na kuona kiu; nimefunga kula chakula mara nyingi; nimehisi baridi na kuwa uchi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Nimekuwa katika kazi ngumu na taabu, katika kukesha mara nyingi; ninajua kukaa njaa na kuona kiu; nimefunga kula chakula mara nyingi; nimehisi baridi na kuwa uchi.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 11:27
17 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini namna hii haitoki illa kwa kusali na kufunga.


Na walipokwisha kuchagua wazee katika killa mji, na kuomba pamoja na kufunga, wakawaweka kafika mikono ya Bwana waliyemwamini.


Kwa biyo kesheni, mkikumbuka kama miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya killa mtu kwa machozi.


Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, illi mpate faragha kwa kufunga na kuomba, mkajiane tena, Shetani asije akawajarihu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.


Wao wakhudumu wa Kristo? (nanena kiwazimu), mimi zaidi; kwa kazi kuzidi sana; kwa mapigo kupita kiasi; kwa vifungo kuzidi sana; kwa mauti marra nyingi.


kafika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika kazi, katika kukesha, katika kufunga;


Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yote, nimefundishwa kushiha na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.


Maana, ndugu, mnakumbuka taabu yetu na masumbufu yetu; kwa kuwa mchana na usiku tulifanya kazi tusije tukamlemea mtu wa kwenu, tukawakhubirini bivi Injili ya Mungu.


wala hatukula chakula kwa mtu ye yote burre, bali kwa taabu na masumbufu, mchana na usiku, tulitenda kazi, illi tusimlemee mtu kwenu;


walipigwa mawe, walikatwa kwa msumeno, walishawishwa, waliuawa kwa upanga: walizungukazunguka, wakivaa ngozi za kondoo na ngozi za mbuzi; waiikuwa wahitaji, wakindhiwa, wakitendwa mabaya:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo