2 Wakorintho 11:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Kwa Wayahudi marra tano nalipata mapigo arubaini kasoro moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Mara tano nilichapwa vile viboko arubaini kasoro kimoja vya Wayahudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Mara tano nimepigwa na Wayahudi mijeledi arobaini kasoro moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Mara tano nimechapwa na Wayahudi viboko arobaini kasoro kimoja. Tazama sura |