Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 11:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Nisemalo silisemi agizo la Bwana, bali kama kwa upumbavu, katika ujasiri huu wa kujisifu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Ninachosema sasa si kile alichoniagiza Bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ninayosema kuhusiana na huku kujisifu kwa kujiamini, sisemi vile Bwana Isa angesema, bali kama mjinga.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ninayosema kuhusiana na huku kujisifu kwa kujiamini, sisemi kama vile ambavyo Bwana Isa angesema, bali kama mjinga.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 11:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini watu wengine nawaambia mimi, wala si Bwana; ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke buyo anakubali kukaa nae, asimwache.


Kwa khabari za mabikira sina amri ya Bwana, lakini natoa shauri langu, mimi niliyejaliwa kuwa mwaminifu kwa rehema za Bwana.


Lakini nasema haya, nikitoa idhini yangu; sitoi amri.


INGEKUWA kheri kama mngenisamehe kidogo upumbavu wangu; naam, kanisameheni.


kusudi, wakija Wamakedoni pamoja nami, na kuwakuta hamjawa tayari, tusije tukatahayarika sisi, tusiseme ninyi, katika hali hii va kutumaini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo