Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wakorintho 11:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Nasema tena mtu asidhani ya kuwa mimi ni mpumbavu; lakini mjaponidhania hivi, mnikubali kama mpumbavu; mimi nami nipate kujisifu kidogo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Tena nasema: Mtu asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama mkifikiri hivyo, basi, nichukueni kama mpumbavu ili nami nipate kuwa na cha kujivunia angaa kidogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Tena nasema: Mtu asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama mkifikiri hivyo, basi, nichukueni kama mpumbavu ili nami nipate kuwa na cha kujivunia angaa kidogo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Tena nasema: Mtu asinifikirie kuwa mpumbavu. Lakini kama mkifikiri hivyo, basi, nichukueni kama mpumbavu ili nami nipate kuwa na cha kujivunia angaa kidogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Nasema tena: mtu yeyote asidhani kwamba mimi ni mjinga. Lakini hata mkinidhania hivyo, basi nipokeeni kama mjinga ili nipate kujisifu kidogo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Nasema tena, mtu yeyote asidhani kwamba mimi ni mjinga. Lakini hata kama mkinidhania hivyo, basi nipokeeni kama mjinga ili nipate kujisifu kidogo.

Tazama sura Nakili

2 Wakorintho 11:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

INGEKUWA kheri kama mngenisamehe kidogo upumbavu wangu; naam, kanisameheni.

Ninyi, kwa kuwa mna akili, mnavumilia na wajinga kwa furaha.

SINA buddi kujisifu, ijapokuwa haipendezi; lakini nitafikilia njozi na mafunuo ya Bwana.

Nimekuwa mpumbavu, ninyi mmenilazimisha. Maana ilinipasa nisifiwe na ninyi; kwa sababu sikuwa duni ya mitume walio wakuu, nijapokuwa si kitu.

Maana kama ningetaka kujisifu singekuwa mpumbavu, kwa sababu nitasema kweli. Lakini nitajizuia, mtu asinihesabie zaidi ya haya ayaonayo kwangu au kuyasikiakwa kinywa changu.

Maana ikiwa tumerukwa na akili zetu, ni kwa ajili ya Mungu; au ikiwa tunazo akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo