Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 10:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 nisije nikaonekana kana kwamba nataka kuwaogofya kwa nyaraka zangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha nyinyi kwa barua zangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Sitaki nionekane kama ninayejaribu kuwatisha kwa nyaraka zangu.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 10:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi msihukumu neno kabla ya wakati wake, mpaka ajapo Bwana; nae atayamulika yaliyosetirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo killa mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.


Maana wasema, Nyaraka zake nzito, hodari; bali akiwapo mwenyewe mwilini yu dhaifu, na maneno yake hayawi kitu.


Maana, nijapojisifu zaidi kidogo kwa ajili ya mamlaka yetu (tuliyopewa na Bwana, tupate kuwajenga ninyi wala si kuwaangusha), sitatahayarika;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo