Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 10:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kukatika Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Lakini kama yasemavyo Maandiko: “Mwenye kujivuna na ajivunie kazi ya Bwana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Lakini, “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Lakini, “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana Mwenyezi.”

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 10:17
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wala si hivyo tu, illa na twajifurahisha katika Mungu kwa Bwana wetu Yesu Kristo ambae kwa yeye tuliupokea upatanisho.


mwenye mwili aliye yote asije akajisifu mbele ya Mungu.


kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye ajisifuye ajisifu katika Bwana.


Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Muugu kwa Roho, na kujisifu katika Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo