Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 1:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Maana hatupendi, ndugu, msijue khabari ya shidda ile iliyotupata katika Asia, ya kwamba tulilemewa mno kuliko nguvu zetu, hatta tukakata tamaa ya kuishi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule Asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule Asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Ndugu, tunataka kuwajulisheni taabu zilizotupata kule Asia; taabu hizo zilitulemea kupita kiasi, hata tukakata matumaini yote ya kuendelea kuishi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Ndugu wapendwa, hatutaki mkose kujua kuhusu zile taabu tulizopata huko jimbo la Asia. Kwa maana tulilemewa na mizigo sana, kiasi cha kushindwa kuvumilia, hata tulikata tamaa ya kuishi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Ndugu wapendwa, hatutaki mkose kujua kuhusu zile taabu tulizopata huko Asia. Kwa maana tulilemewa na mizigo sana, kiasi cha kushindwa kuvumilia, hata tulikata tamaa ya kuishi.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 1:8
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wakapita katika inchi ya Frugia na Galatia, wakakatazwa na Roho Mtakatifu, wasilikhubiri Neno katika Asia.


Alipokwisba kusema haya akauvunja mkutano.


Waparthi na Wamedi na Waelamiti, nao wakaao Mesopotamia, Yahudi ua Kappadokia, Ponto na Asia,


Sipendi msiwe na khahari, ndugu zangu, ya kuwa marra nyingi nalikusudia kuja kwemi, nikazuiliwa hatta sasa, illi nipate kuwa na matunda kwenu ninyi pia kama nilivyo navyo katika mataifi mengine.


Ikiwa, kwa jinsi ya kibinadamu, nalipigana na nyama wakali kule Efeso, nina faida gani wasipofufuka wafu? Tule, tukanywe, maana kesho tutakufa.


kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wengi wako wanipingao.


Mmekwisha kushiba, mmekwisha kupata utajiri, mmemiliki pasipo sisi. Na ingekuwa kheri kama mngalimiliki, illi sisi nasi tumiliki pamoja nanyi.


Naam, sisi wenyewe tulikuwa na hukumu ya mauti katika nafsi zetu, illi tusijitumainie nafsi zetu, hali Mungu, awafufuae wafu, aliyetuokoa sisi na mauti kuu namna ile, tena ataokoa;


kama wasiojulika, bali wajulikao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hayi; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo