Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wakorintho 1:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 ambae tumemtumainia kwamba atazidi kutuokoa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yeye alituokoa katika hatari kubwa ya kifo, na anaendelea kutuokoa; sisi tumemwekea tumaini letu kwamba atatuokoa tena,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yeye alituokoa katika hatari kubwa ya kifo, na anaendelea kutuokoa; sisi tumemwekea tumaini letu kwamba atatuokoa tena,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yeye alituokoa katika hatari kubwa ya kifo, na anaendelea kutuokoa; sisi tumemwekea tumaini letu kwamba atatuokoa tena,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Yeye ametuokoa kwenye hatari kubwa ya kifo, na atatuokoa tena. Kwake yeye tumeweka tumaini letu kwamba ataendelea kutuokoa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Yeye aliyetuokoa kwenye hatari kubwa ya kifo na atatuokoa tena. Kwake yeye tumeweka tumaini letu kwamba ataendelea kutuokoa.

Tazama sura Nakili




2 Wakorintho 1:10
14 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.


niokolewe nao waasio katika Yahudi, na tena khuduma yangu niliyo nayo huko Yerusalemi ipate kibali kwa watakatifu,


Naam, sisi wenyewe tulikuwa na hukumu ya mauti katika nafsi zetu, illi tusijitumainie nafsi zetu, hali Mungu, awafufuae wafu, aliyetuokoa sisi na mauti kuu namna ile, tena ataokoa;


kama wasiojulika, bali wajulikao sana; kama wanaokufa, kumbe tu hayi; kama wanaorudiwa, bali wasiouawa;


Kwa maana twajitaabisha na kujitahidi katika jambo hili, kwa sababu twamtumaini Mungu aliye hayi aliye mwokozi wa watu wote, khassa wa hao waaminio.


Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, illi kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, mataifa wrote wakasikie; nikaokolewa katika kanwa la simba.


Bwana ajua kuwaokoa wamchao na majaribu, na kuwaweka wasio haki katika hali ya adhabu hatta siku ya hukumu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo