2 Timotheo 4:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Maana mimi sasa namiminwa, na siku ya kufunguliwa kwangu imekaribia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa upande wangu mimi, niko karibu kabisa kutolewa tambiko na wakati wa kufariki kwangu umefika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa maana mimi sasa ni tayari kumiminwa kama sadaka ya kinywaji, nayo saa yangu ya kuondoka imetimia. Tazama sura |