2 Timotheo 4:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 nao watajiepusha na kusikia yaliyo kweli watageukia hadithi za uwongo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watakataa kuusikia ukweli, watageukia hadithi za uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watakataa kuusikia ukweli, watageukia hadithi za uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watakataa kuusikia ukweli, watageukia hadithi za uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Watakataa kusikiliza kweli na kuzigeukia hadithi za uongo. Tazama sura |