Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Timotheo 4:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Jitahidi kuja kabla ya wakati wa baridi. Eubulo akusalimu, na Pudente, na Lino, na Klaudia, na ndugu wote pia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pudensi, Lino na Klaudio wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pudensi, Lino na Klaudio wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Fanya bidii kuja kabla ya majira ya baridi. Ebulo, Pudensi, Lino na Klaudio wanakusalimu; vilevile ndugu wengine wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Jitahidi ufike huku kabla ya majira ya baridi. Eubulo anakusalimu, vivyo hivyo Pude, Lino, Klaudia na ndugu wote.

Tazama sura Nakili

2 Timotheo 4:21
11 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, unapofuatana na mshitaki wako kwenda kwa liwali, njiani ujitahidi kupatanishwa nae: asije akakukokota mbele ya kadhi, yule kadhi akakutia katika mikono ya askari, yule askari akakutupa gerezani.

Ndugu wote wawasalimu. Kasalimianeni kwa busu takatifu.

Walio watakatifu wote wawasalimu.

Watakatifu wote wawasalimu, khassa wao walio wa nyumba ya Kaisari.

nikikumbuka machozi yako, illi nijae furaha;

Joho lile nililomwachia Karpo Troa, ujapo, lete, navyo vitabu, zaidi vile vya ngozi.

Jitahidi kuja kwangu upesi;

Nitakapomtuma Artema kwako an Tukiko, jitahidi kuja kwangu hatta Nikopoli; maana huku nimekusudia kukaa wakati wa baridi.

Wa-toto wa ndugu yako aliye mteule, wakusalimu.

Lakini nataraja kukuona karibu na kusema nawe mdomo kwa mdonm.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo