Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 4:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Trofimo nalimwacha Mileto, hawezi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Erasto alibaki Korintho, naye Trofimo nilimwacha Mileto kwa sababu alikuwa mgonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Erasto alibaki Korintho, nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Erasto alibaki Korintho. Nami nikamwacha Trofimo huko Mileto akiwa mgonjwa.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 4:20
9 Marejeleo ya Msalaba  

BAADA ya mambo haya Paolo akatoka Athene akalika Korintho.


Na Krispo, mkuu wa sunagogi, akamwamini Bwana pamoja na nyumba yake yote. Wakorintho wengi wakasikia, wakaamini, wakabatizwa.


Akatuma watu wawili miongoni mwa wale waliomkhudumia kwenda Makedonia, nao ni Timotheo na Erasto, yeye mwenyewe akakaa katika Asia kitambo.


Tukatweka kutoka huko, na siku ya pili tukafika mahali panapokabili Kio: siku ya pili yake tukawasili Samos, tukakaa Trogullio, siku ya pili tukafika Mileto.


Toka Mileto Faolo akatuma watu kwenda hatta Efeso, akawaita wazee wa Kanisa.


Watu hawa wakafuataua nae mpaka Asia, Sopater Mberoya, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thessalonika, na Gayo mtu wa Derbe, na Tukiko na Trofumo watu wa Asia.


Kwa maana wamemwona Trofimo Mwefeso, pamoja nae mjini, wakadhani ya kuwa Paolo amemwingiza katika hekalu.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo