Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 4:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Nisalimie Priska, na Akula, na nyumba ya Onesiforo. Erasto alikaa Korintho.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Wasalimu Priska na Akula, pamoja na jamaa ya Onesiforo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani mwa Onesiforo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wasalimu Prisila na Akila, na wote wa nyumbani kwa Onesiforo.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 4:19
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziyada? Hatta wattoza ushuru, je, nao hawafanyi kama hayo?


Paolo akazidi kukaa huko siku nyingi, kiisha akaagana na ndugu akatweka kwenda Shami; na Priskilla na Akula wakaenda pamoja nae, alipokwisha kunyoa kichwa chake katika Kenkrea; maana alikuwa ana nadhiri.


Akamwona Myahudi mmoja, jina lake Akula, mzalia wa Ponto; nae amekuja kutoka inchi ya italia siku za karibu, pamoja na Priskilla mkewe, kwa sababu Klaudio amewaamuru Wayahudi wote watoke Rumi.


Akaanza kunena bila khofu katika sunagogi: hatta Akula na Priskilla walipomsikia wakamchukua kwao, wakamweleza njia ya Bwana kwa usahihi zaidi.


Makanisa ya Asia wawasalimu. Akula na Priskilla wawasalimu sana katika Bwana, pamoja na kanisa lililo ndani ya nyumba yao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo