Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 4:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Nawe ujibadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Jihadhari naye kwa sababu aliupinga ujumbe wetu kwa ukali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga maneno yetu vikali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 4:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Jihadharini na mbwa, jihadharini nao watendao mabaya, jihadharini nao wajikatao.


Vile vile kama Yanne na Yambre walivyopingana na Mnsa, vivyo hivyo na hawa wapingana na kweli, ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.


Iskander mfua shaba alinionya mabaya mengi; Bwana atamlipa kwa jinsi ya matendo yake.


Katika jawabu yangu ya kwauza hakuna mtu aliyesimama pamoja nami, bali wote waliniacha; wasihesabiwe khatiya kwa jambo bili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo