Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 4:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Iskander mfua shaba alinionya mabaya mengi; Bwana atamlipa kwa jinsi ya matendo yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yule sonara aitwaye Aleksanda amenitendea maovu mengi; Bwana atamlipa kufuatana na hayo matendo yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Iskanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana Isa atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Iskanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana Isa atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 4:14
18 Marejeleo ya Msalaba  

Msijilipize kisasi, wapenzi, bali ipisheni ghadhabu; maana imeandikwa, Kisasi juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.


atakaemlipa killa mtu kwa kadiri ya matendo yake;


kwa kuwa ni haki mbele za Mungu kuwalipa mateso wale wawatesao ninyi,


Katika hao wamo Humenayo na Iskander, ambao nimempa Shetani wafundishwe wasimtukane Mungu.


Nawe ujibadhari na huyo, kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.


Mtu akimwona ndugu yake anakosa kosa lisilo la mauti, ataomba, nae atampa uzima kwa ajili ya hawo wakosao kosa lisilo la mauti. Liko kosa lililo la mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hilo.


Furahini juu yake, enyi mbingu, na ninyi watakatifu na mitume na manabii, kwa maana Mungu amehukumu hukumu yenu juu yake.


Mlipeni kama yeye alivyolipa, mkamlipe mardufu kwa kadiri ya matendo yake. Katika kikomhe kile alichokichanganisha, mchanganishieni mardufu.


Wakalia kwa sauti kuu, wakiseina, Ee Mola, Mtakatifu, Mwenye kweli, hatta lini huhukumu na kuipatia haki damu yetu kwao wakaao juu ya inchi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo