Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Joho lile nililomwachia Karpo Troa, ujapo, lete, navyo vitabu, zaidi vile vya ngozi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vya ngozi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vya ngozi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Utakapokuja niletee koti langu nililoacha kwa Karpo kule Troa; niletee pia vile vitabu, na hasa vile vya ngozi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa, na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 4:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na mtu atakae kukushtaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho.


Tukangʼoa nanga kutoka Troa, tukafika Samothraki kwa tanga moja.


wakapita Musia wakatelemkia Troa.


wakihuzunika zaidi kwa sababu ya neno lile alilosema, ya kwamba hawatamtazama uso tena. Wakamsindikiza hatta merikebuni.


Hatta saa hii ya sasa, tuna njaa na kiu, tu uchi, twapigwa makofi, hatuna makao;


kwa kazi na kusumbuka; kwa kukesha marra nyingi; kwa njaa na kiu; kwa kufunga marra nyingi; kwa baridi na kuwa uchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo