Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 4:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe; maana anifaa kwa kazi ya khuduma.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Luka peke yake ndiye aliye hapa pamoja nami. Mpate Marko uje naye, kwa maana ataweza kunisaidia katika kazi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Ni Luka pekee aliye hapa nami. Mtafute Marko uje naye, kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Ni Luka peke yake aliye hapa pamoja nami. Mtafute Marko uje naye kwa sababu ananifaa sana katika huduma yangu.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 4:11
15 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho, wa kwanza.


Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza wa mwisho: maana waitwao wengi, hali wateule wachache.


Kafahamuni, wako wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, na wako wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.


Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mama yake Yohana, ambae jina lake la pili ni Marko; na wafu wengi wamekutana wakiomba.


Na Barnaba na Saul, walipokwisha kuitimiza khuduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemi wakamchukua pamoja nao Yohana aitwae Marko.


Barnaba akaazimu kumchukua Yohana aliyekwitwa Marko pamoja nao.


Bassi palitokea maneno makali beina yao hatta wakatengana: Barnaba akamchukua Marko akatweka kwenda Kupro.


Bassi alipokwisha kuona yale maono, marra tukataka kutoka kwenda Makedonia, kwa kuwa tuliona hakika ya kwamba Bwana ametuita tuwakhubiri Injili.


Aristarko, aliyefumgwa pamoja nami, awasalimu, na Marko, mjomba wake Barnaba, amhae mmepokea maagizo kwa khabari yake; akifika kwenu mkaribisheni.


Luka, yule tabibu mpendwa, awasalimu, na Dema.


Wajua hili, ya kuwa wote walio katika Asia wameniacha, katika hao ni Figello na Hermogene.


Bassi ikiwa mtu amejitakasa kwa kujitenga na hawa atakuwa chombo cha kupata heshima, kilichosafishwa, kimfaacho Bwana, kimetengenezwa kwa killa kazi iliyo njema.


na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.


Bibi mteule, mwenzi wenu aliye katika Babeli, awasalimu, na Marko mwanangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo