Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 3:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote kama na wa hao ulivyokuwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Lakini hawataweza kuendelea zaidi kwa maana upumbavu wao utaonekana wazi kwa wote. Ndivyo ilivyokuwa kwa akina Yane na Yambre.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Lakini hawataweza kuendelea zaidi kwa maana upumbavu wao utaonekana wazi kwa wote. Ndivyo ilivyokuwa kwa akina Yane na Yambre.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Lakini hawataweza kuendelea zaidi kwa maana upumbavu wao utaonekana wazi kwa wote. Ndivyo ilivyokuwa kwa akina Yane na Yambre.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Lakini hawataendelea sana, kwa sababu upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama vile upumbavu wa hao watu wawili ulivyokuwa dhahiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Lakini hawataendelea sana, kwa sababu upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama ulivyokuwa dhahiri upumbavu wa hao watu wawili.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 3:9
14 Marejeleo ya Msalaba  

Akatenda hivyo. Mkono wake ukapona, ukawa mzima kama wa pili. Nao wakatekewa moyo: wakisemezana wao kwa wao, wamtendeje Yesu.


Bassi, angalia, mkono wa Bwana ni juu yako, nawe utakuwa kipofu, usilione jua kwa muda kitambo. Marra kiwi kikamwangukia na giza, akazungukazunguka na kumtafuta mtu wa kumshika mkono na kumwongoza.


Vile vile kama Yanne na Yambre walivyopingana na Mnsa, vivyo hivyo na hawa wapingana na kweli, ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo