Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 3:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 wenye mfano wa utawa, lakini wakikana nguvu zake; ujiepushe na hao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Kwa nje wataonekana kama watu wenye kumcha Mungu, lakini wataikana nguvu yake. Jiepushe kabisa na watu wa namna hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje, lakini wakizikana nguvu za Mungu. Jiepushe na watu kama hao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje, lakini wakizikana nguvu za Mwenyezi Mungu. Jiepushe na watu wa namna hiyo.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 3:5
20 Marejeleo ya Msalaba  

Jihadharini na manabii wa uwongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa wa mwitu wakali.


illi tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukulivva kwa killa upepo wa elimu, kwa bila ya watu, kwa ujanja, tukifuata njia za udanganyifu;


Na ikiwa mtu aliye yote halishiki neno letu la waraka huu, jihadharini na mtu huyo, wala msizumgumze nae, apate kutahayarika;


Twawaagizeni, ndugu, katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na killa ndugu aendae bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.


Bali hadithi za kizee, zisizo za dini, uzikatae.


Jitahidi kupata utawa. Maana, kujitahidi kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, hali utawa hufaa kwa mambo yote; maana nna ahadi ya uzima wa sasa na wa ule utakaokuwa.


Lakini mtu asiyewatunza walio wake na khassa watu wa nyumba yake ameikana Imani, tena ni mbaya kuliko yeye asiyeamini.


na majadiliano ya watu walioharibiwa akili zao, walioikosa kweli, wakidhani ya kuwa utawa ni njia ya kupata faida; ujitenge na watu kama hao,


Jiepushe na maneno yasiyo na maana, yasiyo ya dini; maana wataendelea zaidi katika maovu;


Walakini yakatae maswali ya upumbavu, yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi:


Wanakiri kwamha wanamjua Mungu, bali kwa matendo yao wanamkana, ni wenye machukizo, maasi, na kwa killa tendo jema hawafai.


Mtu mzushi, baada ya kumwonya marra ya kwanza na marra ya pili, mkatae;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo