Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 3:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 makhaini, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 watakuwa wahaini, wakaidi na waliojaa kiburi; watapenda anasa kuliko kumpenda Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wanaopenda anasa kuliko kumpenda Mungu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wapendao anasa zaidi kuliko kumpenda Mwenyezi Mungu:

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 3:4
12 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi kwa kuwa mambo haya hayawezi kukanushwa, imewapaseni kutulia, msifanye neno la haraka haraka.


Ni yupi katika manabii ambae baba zenu hawakumwudhi? nao waliwaua wale waliotabiri khabari za kuja kwake yule mwenye haki; ambae ninyi sasa mmemsaliti mkamwua;


Marra haba. Yalikatiwa kwa kutokuamini kwao, na wewe wasimama kwa imani yako. Usijivune bali uogope;


Kwa sababu bao ndio wasiomtumikia Bwana wetu Kristo, bali matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na ya kujipendekeza waidanganya mioyo ya watu wasio wabaya.


si mtu aliyeongoka karibu, asije akajivuna, akaanguka katika hukumu ya Shetani.


Na yeye asiyejizuia nafsi yake amekufa ingawa yu hayi.


Uwaagize walio matajiri katika ulimwengu huu wasijivune, wala wasitumainie utajiri usio yakini, bali Mungu aliye hayi atupae vitu vyote kwa wingi, tuvitumie kwa furaha;


Watu hawo ndio wajitengao, watu wa dunia hii tu, wasio na Roho.


Kwa maana kuna watu wamejiingiza kwa siri, watu walioandikiwa zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufasiki, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo