2 Timotheo 2:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 na neno lao litakuwa likitafuna kama donda ndugu. Katika hao ni Humenayo na Fileto, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mafundisho ya aina hiyo ni kama donda linalokula mwili. Miongoni mwa hao waliofundisha hayo ni Humenayo na Fileto. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto, Tazama sura |