Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 2:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 ikiwa hatuamini, yeye hudumu kuwa mwaminifu, hawezi kujikana nafsi yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Tusipoaminika, yeye hudumu akiwa mwaminifu, kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kama tusipoamini, yeye hudumu kuwa mwaminifu, kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 2:13
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mbingu na inchi zitapita; bali maneno yangu hayatapita kamwe.


Ni nini, bassi, ikiwa hawakuamini wengine? Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?


Si kana kwamba neno la Mungu limetanguka; maana hawawi wote Waisraeli walio wa uzao wa Israeli.


Mungu ni mwaminifu, ambae mliitwa nae muingie katika ushirika wa Mwana wake, Yesu Kristo Bwana wetu.


Yeye ni mwaminifu awaitae, nae atafanya.


Lakini Bwana ni mwaminifu, atakaewafanyeni imara na kuwaokoeni na yule mwovu.


katika tumaini la nzima wa milele, ambao Mungu asiyeweza kusema nwongo aliuahidi kabla ya nyakati za zamani;


illi kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo Mungu bawezi kusema nwongo, tupate faraja lililo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo