Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Timotheo 2:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 BASSI wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo katika Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Basi, wewe mwanangu, uwe na nguvu katika neema tunayopata katika kuungana na Kristo Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Basi wewe, mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Al-Masihi Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Basi, wewe mwanangu, uwe hodari katika neema iliyo ndani ya Al-Masihi Isa.

Tazama sura Nakili




2 Timotheo 2:1
14 Marejeleo ya Msalaba  

Kesheni, simameni imara katika Imani, mwe waume, mwe hodari.


Ndugu zangu, mwe hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.


Nayaweza mambo yote katika yeye anitiae nguvu.


Agizo hilo nakupa iwe akiba, mwanangu Timotheo, kwa ajili ya maneno ya unabii yalivotangulia juu yako, illi katika hayo ufanye vile vita vizuri;


kwa Timotheo, mwana wangu khassa katika imani, Neema, na rehema, na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.


PAOLO, mtume wa Yesu Kristo, kama alivyopenda Mungu, kwa ahadi ya uzima ulio katika Yesu Kristo:


kwa Timotheo mwanangu mpendwa; Neema, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.


Maana Mungu hakutupa roho ya khofu, bali ya nguvu na ya upendo ua ya moyo wa kiasi.


Kwa ajili ya hilo nastahimili yote, kwa ajili ya wateule, wao nao waupate wokofu ulio katika Kristo Yesu pamoja ua utukufu wa milele.


Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, illi kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, mataifa wrote wakasikie; nikaokolewa katika kanwa la simba.


Lakini, kaeni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu, Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hatta milele. Amin.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo