2 Timotheo 1:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 bali, alipokuwa katika Rumi, alinitafuta kwa bidii, akanipata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 ila mara tu alipofika Roma, alianza kunitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Badala yake, alipokuwa Rumi alinitafuta kwa bidii hadi akanipata. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Badala yake, alipokuwa Rumi, alinitafuta kwa bidii mpaka akanipata. Tazama sura |