Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Timotheo 1:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 aliyonifauya mkhubiri na mtume na mwalimu wa mataifa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Mimi nimechaguliwa niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Mimi nimechaguliwa niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Mimi nimechaguliwa niwe mtume na mwalimu kwa ajili ya kuhubiri Habari Njema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Nami nimewekwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa Injili hii.

Tazama sura Nakili

2 Timotheo 1:11
5 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Bwana akamwambia, Shika njia; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.

JE! mimi si mtume? mimi si huru? sikumwona Yesu Kristo Bwana wetu? ninyi si kazi yangu katika Bwana?

wapenda kuwa waalimu wa sharia, wasiyafahamu wasemayo wala mambo yale wayanenayo kwa utbabiti.

kwa ajili ya huo naliwekwa niwe mkhubiri na mtume (nasema kweli katika Kristo, sisemi uwongo), mwalimu wa mataifa katika imani na kweli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo