Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Petro 3:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu kama siku moja.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! Mbele ya Bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! Mbele ya Bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! Mbele ya Bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Lakini wapendwa, msisahau neno hili: kwamba kwa Mwenyezi Mungu, siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Lakini wapenzi, msisahau neno hili: kwamba kwa Mwenyezi Mungu, siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.

Tazama sura Nakili

2 Petro 3:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana sitaki ndugu msiijue siri hii, ms jione kuwa wenye akili, ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka ntimilifu wa mataifa uwasili;

NDUGU, sitaki mkose kufahamu ya kuwa baba zetu wote walikuwa chini ya wingu, wote wakapita kati ya bahari;

KWA khabari za karama za roho, ndugu, sitaki mkose kufahamu.

WAPENZI, waraka huu ndio wa pili niwaandikiao ninyi; katika hizo naziamsha nia zenu sali kwa kuwakumbusheni,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo